Laws and regulations, politics and democracy in general

Vertical Sample

Monday, August 1, 2016

WATANZANIA NI WAMOJA,SIASA NI IMANI TU.

Na. Elias Magugudi














Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mheshimiwa Nape Nauye  akiteta jambo na Mheshimiwa Edward Lowasa wakati wa kuaga mwili wa Mpigapicha  wa Tanzania Daima Ndugu  Joseph Sanga    Sinza jijini Dar es salam pembeni ni Mwenyekiti wa Chedema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe

0 comments:

Post a Comment