Laws and regulations, politics and democracy in general

Vertical Sample

Monday, May 29, 2017

Rais Dk John Pombe Magufuli amuapisha IGP Simon Siro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo terehe 29 May 2017 amemuapisha Mkuu mpya wa jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Siro. Kabla ya kuwa IGP Simon Siro alikua kamishna wa kanda maalum ya Dar es salam. Hafla hio imefanyika Ikulu Dar es salam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo makamu wa Rais Samia Suluhu Hasan.
Kurunzi la  siasa tunamtakia kila la heri IGP Siro katika kutekeleza majukumu yake.

0 comments:

Post a Comment